Numbers 21:7

7 aWatu wakamjia Musa na kusema, “Tumetenda dhambi wakati tuliponena dhidi ya Bwana na dhidi yako. Mwombe Bwana ili atuondolee hawa nyoka.” Hivyo Musa akawaombea hao watu.

Copyright information for SwhKC